October 26, 2020

 


SIMBA ndani ya dakika 45 kwa mechi za leo kwa mechi ambazozimechezwa leo kwa kuwa imekuwa ya kwanza ambayo imeruhusu bao la mapema dakika ya 35 kwa kufungwa na Fuly Zully Maganga.


Mpaka muda wa mapumziko kwenye ligi leo ambapo kuna mechi tatu zinaendelea ni Simba ilifungwa.

Timu nyingine ambazo zipo uwanjani na zilimaliza dakika 45 bila kufungwa ni vinara Azam FC ambao walikwenda mapumziko bila kufungana na Mtibwa Sugar Uwanja wa Jamhuri.

Pia Dodoma Jiji ikiwa Uwanja wa Jamhuri Dodoma ilikwenda kwenye vyumba vya kubadilishia nguo ikiwa imetoshana nguvu na Tanzania Prisons.

Huu ni mchezo wa pili Simba kutunguliwa mapema mbele ya timu za majeshi baada ya kutoka kuchezeshwa ligwaride na Tanzania Prisons, Oktoba 22 na ilinyooshwa kwa bao 1-0.

9 COMMENTS:

  1. Yani dk ya 35 ni mapema? Kweli waandishi wa humu ni uozo mtupu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na sijajua imeandikwa habari hii lengo Nini, subiri mechi iishe ndo uandike update inayoeleweka

      Delete
    2. Mechi tayari imeisha na poit tatu nyingine zimeyeyuka. Nadhani lengo sasa limeeleweka. Unaweza ukawa hujamwelewa mwandishi, lkn Manara ambaye pia ni mwandishi atakuwa ameelewa

      Delete
  2. Tatizo wachezaji wa simba wanaonekana kucheza kwa mazoea yaani hawajitumi kabisa huku timu kadhaa za ligi kuu zinaonekana kujituma kupita maelezo zinapokutana na simba yaani zinakamia hasa na ikiwezekana hata mechi za simba kuchezwa na wapinzani wake wa wakaribu wanaowania taji la ubingwa kwa maana kwamba timu inayocheza na simba hata kupata motisha za ahadi ya fungu fulani kama wataifunga sumba na viongozi wa simba wasiposhtuka mapema basi hali itakuwa mbaya zaidi. Licha ya simba kuwa na majeruhia wengi lakini pia kuna namna.

    ReplyDelete
  3. Hivi Chama, Kagere na Mugalu wako wapi hadi tunateseka namna hii?

    ReplyDelete
  4. Kikosi cha simba kipana sana......imebaki story! No Chama no kushindaa

    ReplyDelete
  5. Mabingwa tunajipanga tunarudi kwenye form muda cmrefu waache watangulie hao wengine maana pumzi yao ndogo. Bingwa wa Tanzania vpl,Azam fdl,ngao ya jamii tunarudi.

    ReplyDelete
  6. Subiri kwanza unzekutengenezewa mazingira vipolo kibao hapo ndipo utafanikiwa ila wakisema upambane kama wanaume wanavyo pambana imekula kwako kk

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic