YANGA wamesepa na pointi tatu jumlajumla mbele ya Dodoma Jiji kwenye mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
Mabao ya Yanga yamefungwa na Lamine Moro dakika ya 27, Saido Ntibanzokiza dakika ya 67 na Bakari Mwamnyeto dakika ya 75.
Lile la Dodoma Jiji lilifungwa na Seif Karihe dakika ya 4.
FT: Yanga 3-1 Dodoma Jiji
Zinaongezwa 2
Dakika 90 zimekamilika
Dakika ya 90 anatoka Yacouba anaingia Farid Mussa
Dakika ya 89 Nchimbi anaingia anatoka Yacouba
Dakika ya 75 Bakari Goal
Dakika ya 69 Goal Said Ntibanzokiza
Dakika ya 60 Jukumu Kibanda anaonyeshwa kadi ya njano na Mbwana
Dakika ya 45, Sarpong anatoka anaingia Saido
Kipindi cha pili
Mapumziko
Zinaongezwa dakika 2
Dakika ya 36, Yacouba anachezewa faulo
Dakika ya 35 Yanga wanapeleka mashambulizi kwa Dodoma Jiji
Dakika ya 33 Ambundo
anapaisha ndani ya 18
Dakika ya 27 Gooooal Lamine Moro, asisti Deus Kaseke
Dakika ya 26 Kisinda anachezewa faulo
Dakika ya 24 Kisinda anapeleka mashambulizi kwa Dodoma Jiji
Dakika ya 23 Sarpong anatoa mpira
Dakika ya 22 Kaseke anafanya jaribio linaokolewa na Ambundo
Dakika ya 21 Kibanda anafanya jaribio linakwenda nje ya lango
Dakika ya 20 Kisinda anachezewa faulo inapigwa na Kibwana Shomari
Dakika ya 20 Kisinda anachezewa faulo inapigwa na Kibwana Shomari
Dakika ya 19 Yacouba anacheza faulo
Dakika ya 17 mapumziko kidogo ya kunywa maji
Dakika 14 Mukoko anachezewa faulo
Dakika ya 10 Mwamnyeto anaanua majalo
UWANJA wa Sheikh Amri Abeid
Yanga 0-1 Dodoma Jiji
Dakika ya 4 Seif Karihe
Hakuna Ubakaji "Clear Goals"
ReplyDeleteLkn Hersi naye aambiwe kuuza jezi kutatugharimu hi mechi kidogo itutokee puani ,.Wachezaji wetu somehow walking loose concentrAtion in a tia Shaka.Na nyie mikia mjifunze Mbwana Makata ni Yanga lkn angalia upambanaji hapa bila Saidio tulisha kubali drop.Kaze tupe Warundi wengine tunamhitaji namba Tisa aliyeingia siku ya Stars na Burundi
ReplyDeleteAliyeingia alikuwa Saido ntibanzokiza, na ndiye aliyefunga.
ReplyDelete