January 27, 2021


 CULVIN Mavhunga ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba.


Yeye anakuwa ni mtaalamu wa kuchambua viwango vya timu ya Simba pamoja na wapinzani .


Ni raia wa Zimbabwe atakuwa na kazi ya kuchambua ubora na ujuzi wa wapinzani wao.

Anakuwa raia wa pili kutoka Zimbabwe kutambulishwa ndani ya Simba ndani ya Januari,2021 baada ya kuanza na Perfect Chikwende pamoja na Peter Muduhwa ambao hawa ni wachezaji. 

5 COMMENTS:

  1. Mnyama anazidi kukata mbuga na kusonga mbele na aliekaa njiani akae kando asijepigwa kikumbo akalalamika

    ReplyDelete
  2. Kwa Simba hii zitapona timu ambazo hazitofika uwanjani wape salaam

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic