January 27, 2021

 


BREAKING: OFISA Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amefungiwa miaka mitatu kutojihusisha na soka nje na ndani ya Tanzania kwa kutolipa faini ya milioni tano aliyopaswa kulipwa mwaka jana.


Taarifa rasmi iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) imeeleza kuwa mbali na Bumbuli pia Katibu wa Klabu ya Lipuli FC, Julius naye amefungiwa. Taarifa imeeleza namna hii:-


12 COMMENTS:

  1. Hili jinga kubwa linajifanya jeuri kushindana na TFF sasa kimemwakia.Nje miaka 3.

    ReplyDelete
  2. Tff wameanzisha chanzo cha mapato ni faini tu ili ttf iende

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mboni hujahoji tabia ya baadhi ya viongozi kuvunja Sheria za mpira wa miguu za shirikisho la mpira Tz bali unahoji suala la faini tu mpira wa sasa unahitaji viongozi weledi hata yanga ni wazi haina mwanasheria alishindwaje kumshauri bumbuli akalipe faini au alidhani klabu ndio itamlipia?

      Delete
  3. Akome. Anajifanya mjanja kumbe tutusa tuu

    ReplyDelete
  4. Tff isiishie kwa hao tu Bali uendelee kutoa adhabu kwa wengine zaidi na zaidi na iwahukumu bila kujali ukubwa,udogo, uchache wala wingi wa chawa wao mwilini naiona kesho ya mwakalebela Wape Salaam

    ReplyDelete
  5. TFF wanajulikana team yao, Adhabu gan za kukomoana, inaonesha jinsi gan wanavya wawinda watu wasio wahutaji...
    Kuna wasemaji ndio chanzo cha yote hayo, tena wana tamba wana midomo michafu kuliko mtu yeyote dunjani lkn wanawachekea kwasababu ni watu wao

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mkuki Kwa nguruwe mtamu lkn mchungu Kwa binadamu.Kumbuka enzi za TFF ya Malinzi walipo wafungia Manara Kwa mwaka mmoja na faini ya 9m na Damas Ndumbaro alipofungiwa maisha asihusike na soka.Ni jambo la kheri na muhimu kuepusha visasi ktk jamii yetu ya wadau wa soka.Tuvumiliane na kukosoana kwa staha na kuepusha huu mtindo wa kusubiria Nani ataingia pale TFF ili baadaye amfungie mdau mwenzake eti asijihusishe na soka maisha au miaka 3.

      Delete
  6. Walishtakiwa pamoja na Haji Manara kama ndio kisingizio chako.
    Manara akalipa faini milioni 5.Bumbuli akajifanya mjanja ndio matokeo yake hayo. Hamna cha upendeleo wala nini.

    ReplyDelete
  7. Masikini ubabe ukifikia hadi ya kujiona bora kuliko wale waliochaguliwa kutunga sharia kwakuwa kila kitu kifanyike kwa sharia, hayo ndio matokeo yake. Ukitaka nyingi nasiba hukufika mwingi msiba.

    ReplyDelete
  8. Lakini hata yanga hawakumshauri au hata kumlipia? Nahisi yanga walikuwa wanesha mchoka walitafuta njia ya kuachana nae kisiasa ndio wakamtosa kwa kumpa ushauri feki. Kulipa watu wawili wanaifanya kazi ambayo mtu mmoja anaweza kufanya wamegundua ni hasara. Amebak8 kipenzi cha GSM, wa yanga kweli katoswa

    ReplyDelete
  9. Mbona Nugaz yupo anatosha sana tu kwenye hamasa na utoaji habar kwaiyo mnaofurahia Bumbuli kufungiwa wengine anachapa kaz tu.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic