February 22, 2021




KESHO Simba itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Al Ahly ya Misri utakaochezwa Uwanja wa Mkapa majira ya saa 10:00

Hili hapa jeshi linapewa nafasi ya kuanza kesho mbele ya Waarabu wa Misri:- Aishi Manula

Shomari Kapombe

Pascal Wawa

Joash Onyango

Mohamed Hussein

Thadeo Lwanga

Mzamiru Yassin

Clatous Chama

Bernard Morrison

Chris Mugalu

Luis Miquissone


3 COMMENTS:

  1. Yaani Bwalya na Kagere nje au watajiunga baadae?

    ReplyDelete
  2. Mwandishi alijaribu kuwaza/kubashiri kikosi cha kesho, aidha si rahisi kupanga hivyo Darosa na Benchi zima la ufundi wapo vizuri mno kwa mchezo. Hivyo wataongozwa pia na Mungu kupanga kikosi cha Ushindi.

    ReplyDelete
  3. Sina wasiwasi nahii mechi naamini tutashindatu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic