February 19, 2021


 UONGOZI wa Simba kupitia kwa Ofisa Habari wao, umewajibu kimtindo watani zao wa jadi Yanga kuhusu suala lao la kusema kwamba wanaweza kujiondoa kwenye Ligi Kuu Bara.

Leo Februari 19, Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela amesema kuwa ikiwa waamuzi watashindwa kuwatendea haki kesho kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar wanaweza kujiondoa kushiriki ligi.

Yanga inoangoza ligi ikiwa na pointi 46 baada ya kucheza jumla ya mechi 20 inafuatiwa na Simba iliyo nafasi ya pili na pointi zao ni 42 ikiwa imecheza jumla ya mechi 18.

Mwakalebela amesema kuwa kwa namna ambavyo mazingira yapo inaonekana kama kuna bingwa ambaye amepangwa jambo ambalo linawafanya wawe wananyimwa haki zao wanapokuwa ndani ya uwanja.

"Kwa namna mwendo unavyokwenda inaonekana kwamba kama kuna bingwa ambaye amepangwa, hivyo ikiwa kesho kwenye mchezo wetu dhidi ya Mtibwa Sugar, waamuzi watashindwa kututendea haki basi tunaweza kujiondoa kushiriki ligi," ,

Haji Manara akizungumza naye leo Februari 19 amesema kuwa kuna wanaotishia kususa kushiriki ligi kama wataamua wafanya hivyo.

"Mimi nazungumzia habari za Simba na Al Ahly, sizungumzii habari ya kulalamikalalamika, si uamuzi tu huu, kususa, unasusa, susa nasema susa, unasema hayo baada ya kuona wanaume wanakuja namna hii wanaanza kutafutana.

"Unamtisha nani, hii yote unawatisha waamuzi hii yote unayasema wakati huu mbona ulipokuwa unaongoza ligi ulikuwa husemi haya, haya yote sasa kila siku Morrison akishinda inakuwa shida, basi kesho tutamwambia Morrison asifunge,".

17 COMMENTS:

  1. Yanga sasa wameelemewa. Wanataka kutisha waamuzi ili wawe wansachiwa magoli feki. Hii ni mind games

    ReplyDelete
  2. Wanakusudia wapewe ushindi kesho na siku zijazo hata ubingwa uwe wao au watajitoa. Wameshakata tamaa wanavoliona Dume linavonguruma kila kukicha na sasa ilobaki ni porojo. Jamaa wanaona hivi hivi ubingwa unawakataa na inaonesha kuna shida ya hela pia. Sasa wamekuwa na mpya ya kutaka wapewe hela. Tunaanza kuona viroja vingi. Wanamuogopa mfalme wa misitu kufikia hadi kuweseka yasiyofahamika. Kesho Mtibwa watulie na wajipange vyema, ikiwa kaweza African Sports na Mbeya City, bila yako kwenu iwe mteremko tu

    ReplyDelete
  3. Makuma nyote nyie manguruwe fc na manara wenu mnfirwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nashindwa kuelewa weledi wa wamiliki wa blog hii katika kusimamia suala la maadili
      Ni rahisi sana kumpata huyu mpuuzi aliekosa malezi mema ya wazazi wake.Ni suala la kuripoti TCRA na kumdaka kupitia IP address vinginevyo ujinga huu hautakoma

      Delete
    2. Huyu hana adabu wala hana akili kutukana ni dhambi, Yeye anatukana watu , hawezi kuwa mshabiki wa mpira bali ni mnywa Gongo

      Delete
    3. Mwenye blog anafurahia kuona comments nyingi bila kujali matusi na kila maneno mabaya.

      Delete
    4. Aah ah ah ukiliona jitu ukadhani mtu basi mtizame kwenye matendo yake utapata kujua kumbe kweli hili ni jitu na wala si mtu..kama huyu mtoa matusi ni jitu completely limekosa maadili ya ki utu limeambulia maadili na matendo ya ki jitu* matusi ni dalili ya kushindwa katka hoja**

      Delete
  4. Hilo Lugha mwenye blog tusaidie (MAKUMA NK unadhani inakutoa kwenye kutokuelewa na kudhihirisha blog yako ikoje kwa maadili au una publish vitu kujitakatifusha?ukitaka kujua na kuzuga hisia za Watu?mbona mengine huwa unafuta kwa mamlaka yako?ukisema haiendani na maadili?

    ReplyDelete
  5. Acha matusi, jibu hoja. Ndio maana mnataka mpewe uoendeleo chezeni mpira. Kama mnaona hamuiwezi hii ligi jitoeni nindeni ligi ya zanzibar

    ReplyDelete
  6. SALEH AllY matusi kwa namna yeyote hayakubaliki.Chukua hatua.

    ReplyDelete
  7. Ripoti TCRA. IP rahisi kupatikana .Au kama ametumia simu.Matusi hayakubaliki.

    ReplyDelete
  8. Kweli nyani haoni kundule "utopolo wamesahau waliyoyafanya na hata wanayoyafanya" kumuliwa kwao nyuma na mnyama kwa speed ya 4G junawafanya waweweseke, ubingwa Bado upo na utaendelea kubaki simba. Utopolo nisaiz ya mapinduzi cup.

    ReplyDelete
  9. Sidhan kama ni vyema kutuma lugha ya harusi katika mambo haya ya michezo,hii inaonyesha ni kwa kiwango gani tuna safari mrefu ya kujua maana ya ushabiki

    ReplyDelete
  10. Race za ubingwa hizo................kuweweseka kwingwi, tulieni dawa iingie vizuriii, halafu jamaniwakawaulize liverpool mpira una kanuni zake, unasajili kikosi leo kikupe na ubingwa mda huohuo....

    ReplyDelete
  11. Tff na bodi ya waamuzi mmetulia tu,,,wakati yanga wanaingilia kazi za waamuzi

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic