March 9, 2021



 UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa umepeleka barua Caf kwa ajili ya kuomba uchunguzi kuhusu Klabu ya Al Merrikh ya Sudan kuchezesha wachezaji wawili ambao walifungiwa na Shirikisho la Mpira.

Ikiwa majibu hayo yatajibu na uchunguz ukakamilika kwa wakati kuna uwezekano mkubwa wa Simba kupewa pointi tatu za mezani ndani ya kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika. 

Taarifa hiyo ipo namna hii:-






8 COMMENTS:

  1. Mngeachana na hayo mambo, kwasababu kama ipo ipo tu, simba hata msipofuatilia hilo suala, lenyewe litajiweka wazi muda wake ukitamatika, chamsingi ongezeni ufanisi zaidi kwenye technicals bench na uongozi ili tuvune kilicho bora zaidi, huu ni msimu wa kuishangaza Afrika na Dunia kwa ujumla, simba akikaza atafika mbali sana, casablanca, na mamelod bado ni timu za kawaida sana, but let's wait and see, the time will tell.

    ReplyDelete
  2. Safi Barbara, umeshafanya wajibu wako na hiyo ndio sifa ya kiongozi mzuri mwenye uaminifu katika kazi yake

    ReplyDelete
  3. Bahati nzuri CAF hakuna wakina Malinzi..Ambao unakuta kesi ni halali sawa na miaka minne iliyopita Kagera Sugar wamechezesha mchezaji ana kadi tatu za njano..Kiushabiki TFF walitupilia mbali rufaa. Kwenye taasisi kama CAF na FIFA kuna haki na hata suala la Morrison litapata haki

    ReplyDelete
  4. Baada ya kuckia AS Vita wamekuja kivingine tayar watu wameshaanza kulalamika ili kupata sabab watakapotolewa kwenye nafasi walionayo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe nenda katafute kocha hayakuhusu hii na safari hii mlete kocha helikopta

      Delete
    2. malalamiko huwa anapaswa kuyatoa Yanga tu.Waamuzi na TFF wanaionea, kesi ya morrison.Kama ilivyo magoli tata, penalti tata... kwa wengine hivyo vikitokea haifai.Sasa mambo yameanza kuja kivingine na wameona malalamiko hayasaidii wamekuwa kimya..Kama ushahidi upo kwa nini usilalamike kupata haki yako? bahati nzuri pale CAF hayupo Malinzi

      Delete
    3. najalibu kuelewa unachomaanisha..Endapo Simba ingemchezesha Chikwende kwenye mechi hiyo, ingawa haruhusiwi kucheza basi isingekuwa sawa Al Merrikh kukataa rufaa kwani hawana nafasi ya kuendelea mbele na AS Vita yuko anakuja vizuri.. ni fikira kama za yule binadamu wa kwanza Olduvai..

      Delete
  5. Utopolo wameliwa na GSM wanafikiri Simba inaviongozi wasiojiewa Kama wakwao Sheria sifuri. Tunakwenda kuchukua haki yetu iwe funzo nakwa wengine wenye tabia chafu Kama hizo.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic