KOCHA mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amefunguka kuwa anaipongeza Coastal kwa ushindi walioupata dhidi ya klabu yake siku ya leo, huku pia akiwapongeza nyota wake kwa kupambana.
Yanga leo katika dimba la Mkwakwani jijini Tanga imepoteza kwa mara ya kwanza kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1.
Akizungumzia mchezo huo Kaze amesema: "Tulikuwa na mchezo mzuri dhidi ya wapinzani wetu na kufanikiwa kupata penalti mwanzoni, lakini kwa bahati mbaya tuliikosa.
"Lakini nawapongeza vijana wangu kwa kupambana, pamoja na wapinzani wetu kwa ushindi walioupata,"
Habari utopolo aka kidimbwi hamjamboooo.unbeaten
ReplyDeleteHabari utopolo aka kidimbwi hamjamboooo.unbeaten
ReplyDeleteNdio mpira ulivyo
ReplyDeleteHahaaaa yaani leo ndio unajua kuwa mpira ndivyo ulivyo na umeamka saa ngapi?
DeleteUnawapongeza kwa kichapo cha Kwanza. Bado ligi ipo kwa hivo jitahidi kukuchukuwa ubingwa na makombe yote Kutokana na ahafi mlizoxitowa. Msivunkjike moyo. Nyanyukeni mjipange upya
ReplyDeleteTimu mbovu hiyo ndugu yangu,gsm wanazingua kuleta maproo chini ya kiwango
ReplyDeleteMliambiwa mkatoa povu, leo ndo mnashtuka
DeleteBila shaka kituo kinachofuata ni POLISI TZ kama sijakosea
ReplyDeletehamna ni kwa wale wa mpira gwaride
DeleteYanga huu ni msimu wa mikosi. Ushindi ni nadira,Morrison kwawakimbia kweupe unifomu haziuziki, kesi ya Morrison wamepuuzwa Manara amewaandama na huku akikataa kuwataka radhi
ReplyDeleteMaskini Kaze ajiandae kufungashiwa virago. Na ndio mkome kujazana airport kupokea wachezaji magarasa
ReplyDeleteYanga msimu huu muusahau ubingwa. Mbona michezo yenu ni ya hovyo hovyo?. Sioni umahiri ya Tonombe, Sarpong, Yacouba mliwatoa wapi?. Kwa nini siku hizi Haruna Niyonzima hachezi?. Huyu ndiyo injini ya timu. Nimewadharau sana.
ReplyDeleteKaze hawezi kuboresha viwango vya timu.. hakuna cohesion kabisa na amekaa nao kwa muda wa kutosha na kwenye mazingira mazuri. Yaani Hans na Maxine ni bora zaidi. Nilishalisema hili nasubiri mthibitishe zaidi.
ReplyDeleteBaya zaidi yeye ndio aliowapendekeza wengi wao
DeleteMakocha Babu Hans Plujim na George Lwandamina walikuwa bora zaidi ya Maximo.Hata hivyo walifanya haraka sana ya kumtosa Luc Eyamel kwani timu ilipokuwa chini ya huyu mbelgiji ilikuwa inaonyesha dira ya mabadiliko ya uchezaji.Lkn pale Yanga sijui ni nani ambaye ni nani hasa Technical director ambaye anawajibika kuunganisha kurugenzi ya ufundi na menejimenti ya Yanga au GSM.Ni Eng.Hersi, Senzo au Mshido Msolwa ambaye ana taaluma ya ukocha.Yanga kwa sasa kushindana na Simba kwa njia ya mkato au ku-fluke ni sawa na ndoto za alinacha.
DeleteUtopolo pumzi yenu ishakata mambo ya wanaume wanawake kaeni pembeni, in unbeaten Ni wanaume tu ndo wanaoweza kufanya hivyo,tushafanya natutafanya zaidi
ReplyDeleteute na nyie ni unbeaten this time au ilikuwa
DeleteAkili zako hamnazo mlishawahi kutoa ubingwa bila kugongwa weka mwaka hapo siyo Unatoa povu bila kutumia akili
DeleteTeam inakaa avic town inashindwa kuwafunga coastal wanaokaa majalalani? Kocha pumzi imekata
ReplyDeleteHapa hakuna cha kukubali au cha kutokubali ya yaeshe kwani hakuna jenginelo na iliyobski muyatimize kuwa kama hampewi haki zenu bila ya kuzitaja haki gani hizo mlizonyimwa
ReplyDeletesijasikia mchezaji akiitwa kiboko ya yanga ila simba angepoteza tungesikia mengi
ReplyDeleteUtopolo hawakosi nyimbo za kujifariji.
Delete