EXCLUSIVE: MOHAMED HUSSEIN MKATABA WAKE UNAISHA SIMBA, APATA MADILI KUTOKA AFRIKA KUSINI
IKIWA tetesi zinaeleza kwamba mkataba wa nyota wa Simba, Mohamed Hussein kuhitajika na Yanga, meneja wa mchezaji huyo ameweka wazi kuwa mkataba wake kweli unakaribia kuisha na nyota huyo anafuatiliwa na mataifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na timu ya Afrika Kusini
Punguzeni kelele, kwani inawahusu? Yeye mwenyewe anajua kinachoendelea
ReplyDeleteNi mpango wa kutaka apewe pesa nyingi
DeleteHaha kamata mwz huxen ndan ya cmba
ReplyDelete