May 9, 2021

21 COMMENTS:

  1. Porojo zenu zipelekeni katika ofisi za manji, mtajuuta kuijua klabu ya wananchi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bado mnamuota manji tu ndo maana hamtoboi, kazi kulalamika tu na wivu umejaa

      Delete
    2. Tuwe wawazi, Yanga kama wanataka kila kiti kiwe kwenye kanuni bila ya busara kutumika basi subiri tuone. Mambo mangapi wao wanakwenda kinyume Cha kanuni lakini TFF na serikali inatumia busara kuwaepushia majanga. Hata Suala la Rushwa kwenye mechi ya prison bado libichi mno.

      Delete
  2. Ingiza serekali kwenye michezo?FiFA inawasubiri,mbivu mbichi zitajulikana muda sio mrefu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. nendeni FIFA, je milioni 6000 za Morrison zimeeishafika?mnanjifanya mnajua sheria kumbe ni mbumbumbu hamjui

      Delete
  3. Idara ya Habari ya Simba imejiaibisha kwenye hii barua

    ReplyDelete
  4. Huu ni uchonganishi tuu kwan kwan mpira una taratibu na kanuni zake sasa je utaratibu wa mabadiliko ya mechi yanasemaje? Je wakizingatia kanuni za mabadiliko ya mechi husika? Na je kama kuna sababu ya msingi ya kubadili muda wa mchezo kwann haikuwekwa wazi??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mmeiogopa Simba nyie hamna lolote mbona mechi zenu nyingine hamkulalamika .... Mmepata upenyo kidogo tu mmetoka nduki, bahati yenu ilikuwa mpasuke nyingi Utopolo nyie

      Delete
    2. Nyie ndio mmetengeneza mazingira isogezwe mbele kwani kipondo kilikuwa kinawahusu.

      Delete
  5. Uto wamekimbia Ila bado mechi ipo lazima wapasuke

    ReplyDelete
  6. Klabu ya wananchi haielekei hata kidogo kugomea kutekeleza amri halali zilizotoka serikali ambazo no lazima ziheshimiwe na kutekelezwa. Nani mwenye nguvu za kutekeleza amri halali halafu wanauita timu ya wananchi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hizo mechi zilisogezwa muda na mkacheza zilikuwa na uhalali upi.... Mmeogopa acheni zenu

      Delete
    2. Huu ni uropokaji kama msemaji wenu

      Delete
    3. maamuzi ya Yanga ni kukurupuka kama viogozi wao

      Delete
  7. Wakiarabu mmekwama, teh teh

    ReplyDelete
  8. Alama tatu na magoli mawili hahaa. Visa vya uke wenza. Umbumbumbu wa kanuni. Kusingekuwa na sababu ya kipengele na.15 basi. Tuheshimu sheria kwa mustakabali wa soka letu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tunaihitaji barua inayoeleweka toka Yanga, sio kama ile ya paragraph mbili ikieleza tu kuwa kanuni siyo? je walipata taarifa kuanzia saa saba na siyo saa nane na dakika 38 kama wanavyodai wao.,je kuna sehemu awali walikubali hata kwa simu na baadaye kughairi?
      Mimi nadhani Yanga wanaowezo wa kuandika barua ya kufafanua kilichotokea..sio kukazania kanuni hapa
      Na ukisoma hio barua agizo lilitoka serikalini

      Delete
  9. mimi nadani barua zote mbili zikipelekwa FIFA zitaelewela.Ya paragraph mbili inayoshikiria kanuni na ile ya page mbili inatofafanua hatua kwa hatua nini kilitokea

    ReplyDelete
  10. Yaani viongozi walioandika hii barua wangekaa kimya tu, lakini nao bado wanaleta siasa tu zisizo na mashiko,

    ReplyDelete
  11. Kitendo kilichotokea juzi kwa yanga kushikilia msimamo wa kucheza saa kumi na moja na sio saa moja kimetufundisha mambo mengi sana katika soka letu.Mimi binafsi kama mshabiki wa soka naona kimetutofautisha mashabiki(Mchele) na mashabiki(pumba au maandazi),kwakuwa wanaoelewa soka na kanuni zake bila kujali ni wa simba au yanga katika jambo hili wote wameipongeza yanga kwa kuwavua nguo TFF NA KUWAKUMBUSHA KUONGOZA SOKA KWA KUFUATA KANUNI ZA SOKA,lakini walewe wengine wanaoshabikia kwa kuona eti yanga wamekosea wametuonyesha ushabiki wao maandazi.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic