June 28, 2021

5 COMMENTS:

  1. Wanachokitaka ni pesa yake na wala si chengine. Moo yupo imara hakuna yeyote wa kumtikisa yeye ni mpingo. . Mambo yake kimyakimya wala humsikii kuropokwa utasikia kafanya tu ila anasema mkutano tarehe tatu

    ReplyDelete
  2. Hapa naona Kuna akili za kijinga zipo,nyie mikia kwa mo mnamwitaji mo au uwekezaji wake?,kabla ya kuandika jijadiri kichwani mwako,mchakato wa Simba kila mwanachama na shabki unamwitaji mo kwa uwekezaji wake na ndio maana mpka mashauli yalifka selekalini ili kufanya Mambo yakae sawa,Sasa ishu ipo hivi unapoona mwenzio anajenga nyumba yake kwa ustadi wa juu acha majungu acha ajenge Kisha kosoa kwa pale alipokosea ,
    Je Simba unamwitaji mo Kama mo au inamwitaji mo kwa sababu ya uwekezaji?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umesahau kuwa Utopolo kila siku mnalia manji manji

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic