June 22, 2021


FT: Simba 4-1 Mbeya City 
Uwanja wa Mkapa
Pointi 73 mechi 29
Dk 90 90+3 Siraj anaonyeshwa kadi ya njano 
Zinaongezwa dk 3
Dk 90 Chama anachezewa faulo
Dk 89 Onyango anaonyeshwa kadi ya njano kwa kuonekana akimpiga nyota wa Mbeya City Kibu Denis 
Dk 85  Chama gooal
Dk 83 Abdul anapewa huduma ya Kwanza 
Dk 79 Kibu anafanya jaribio halileti matunda kwa Mbeya City 
Dk 76 Morrison anatoka anaingia Mzamiru 
Dk ya 71 Kibu Denis anapipiga faulo inaokolewa na Kakolanya 
Dk ya 69 Siraj anatoka anaingia Seleman kwa Mbeya City 
Dk 68 David Mwasa anafanya jaribio linaokolewa na Kakolanya
Dk 64 Kagere anaingia anatoka Bocco
Dk 63 Pastory anaonyeshwa kadi ya njano kwa kile mwamuzi alichoona mwamba amejiangusha ndani ya 18.
Dk 60 Bwalya anatoka anaingia Chama, Sangija anaonyeshwa kadi ya njano 
Dk 59 Tshabalala anaokoa kona iliyokuwa inakwenda ndani ya 18,
Dk 58 Sangija anafanya jaribio Tshabalala anatoa inakuwa kona
Dk 50  Pastory Athanas Gooooal
Dk 49 Kibu anapiga faulo inaokolewa na Kakolanya
Dk 46 Kibu Denis anafanya jaribio linakwenda nje ya 18
Dk 45 Goooal Bocco
Kipindi cha pili kimeanza 
Mapumziko 

Zinaongezwa dk 2

Dk 45 Kened anapeleka mashambulizi kwa Mbeya City 

Dk 42 Sangija anafanya jaribio linaokolewa na Kakolanya

Dk 38 Kapombe anapewa huduma ya kwanza 

 Dk ya 34 Luis gooooal

Dk 30 Kapombe anamwaga majalo, Bwalya gooooal 

Dakika ya 29 Mandanda anaanzisha mashambulizi kwenda Simba


UWANJA wa Mkapa
Dk 27 Mbeya City wanapata faulo nje kidogo ya lango la Kakolanya inapigwa na David Mwasa
Dk 23 Kibu anafanya jaribio linaokolewa na Kakolanya 
Dk 21 Wawa anapiga shuti kubwa akiwa nje ya 18 linakwenda nje ya lango
Dk 16 Kakolanya anaokoa hatari kutoka nje ya 18 inakuwa kona kwa Mbeya City ambao wanapiga kwa kumtumia Sangija George
Dk 14 Kibu Denis anapeleka mashambulizi kwa Kakolanya
Dk 13 Morrison anafanya jaribio linaokolewa na kipa inakuwa kona haileti matunda 
Dk 12 Tshabalala anafanya jaribio linaokolewa na kipa wa Mbeya City
Dk 9  Mbeya City wanaanzisha mashambulizi kuelekea kwa Beno Kakolanya

Dk ya 7 Tshabalala anapiga kona inaokolewa na Mbeya City 

Dk 6 Luis ndani ya 18 anakosa nafasi ya wazi

Dk 5 Kapombe anaotea


Dk 4 Morrison anapeleka mashambulizi kwa Mbeya City 


Mchezo wa kwanza,  Uwanja wa Sokoine,  ubao ulisoma Mbeya City 0-1 Simba.

7 COMMENTS:

  1. Vipi wananchi ubingwa wanani au ndio bado hauna mwenyewe. Tutaonana. Hana wasiwasi Bwana Manji anakuja kupinduwa Meza kwani Mnyama atafungwa mechi zote, ilizobakia

    ReplyDelete
  2. Mnyama kanguruma matopolo usingizi mapema Leo. I Rejeeni Congo kumleta mashine za mabao. Nawambia siku zote mwenye mkwanja mkubwa mpisheini. I Mnyama tumeusikia mngurumo wako

    ReplyDelete
  3. Uwembe uliotumika kuwanyoa Mbeya City ndio utaotumika kuinyoa Gongowazi tena bila ya sabuni

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nyie mikia kupinda aka paka mweusi mna MB ngapi za kumbukumbu? Kwani mechi 2 za mwisho ziliishaje?

      Delete
    2. This comment has been removed by the author.

      Delete
    3. Mechi mbili za mwisho ziliisha kwa yanga a.k.a utopolo kupata goli moja tena la offside, kwani 3 kwa mbili maana yake nini?usijitoe ufahamu. 3-2=1 mechi mbili mmesharuhusu magoli manne na sasa ina maana gani kama sio yaleyale ya boka kumuita bakari au beka, yanga bado sana.

      Delete
  4. Sasa ubingwa ni wa Mnyama kwa100% ila itokee miujiza ya Mnyama kupoteza mechi zake zikiwemo Yanga na Cosmo.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic