August 2, 2021


 KIKOSI cha Azam FC leo kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KCCA ya Uganda katika mchezo wa Kombe la Kagame.


Ni katika Uwanja wa Azam Complex ambapo Azam FC ilitumia asilimia 100 ya vijana wake kusaka ushindi katika mchezo huo.


Paul Peter aliamua matokeo ya ubao wa Uwanja wa Azam Complex namna ya kusoma kwa kuwa alitupia msumari wa kwanza dk ya 47 na ule wa pili ilikuwa dk ya 63.


KCCA ni mabingwa watetezi wa taji hilo ambalo msimu huu linafanyika Tanzania ikiwakilishwa na timu tatu ambazo ni Yanga, KMKM na Azam FC.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic