KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Express, hatua ya makundi Cecafa Kagame Cup 2021, Uwanja wa Mkapa saa 10:00 jioni.
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA EXPRESS, KAGAME CUP
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Express, hatua ya makundi Cecafa Kagame Cup 2021, Uwanja wa Mkapa saa 10:00 jioni.

Kabwili red card
ReplyDeleteDk 53 Yanga 0-3 Express
ReplyDeleteAibu sana
ReplyDeleteKabwili kalimwa red tena?
ReplyDeleteWalifikiri mechi za kimataifa ni mchezo na kuwasemea referee mbovu kwamba wanaonewa, Yanga bado, tusibiri kuona inayosajiliwa sasa
ReplyDeleteYanga bhn,,, kwa soka la mdomoni ni machampion wa africa.
ReplyDelete