KOCHA Mkuu wa Yanga, raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, amepunguza muda wa mapumziko wa washambuliaji wake Wakongomani, Heritier Makambo na Fiston Mayele.
Hiyo ikiwa ni siku chache tangu watoke kusaini na kuomba ruhusa ya kurejea nyumbani kwao Kinshasa, Congo kwa ajili ya mapumziko na kumaliza matatizo.
Nyota hao wawili walisaini mikataba yao juzi kwa kila mmoja kusaini miaka miwili baada ya kufikia muafaka mzuri na mabosi wa Yanga.
Mmoja wa mabosi wa Yanga, ameliambia Championi Ijumaa, wachezaji hao juzi usiku walisafiri kuelekea Congo kwa ajili ya kukamilisha matatizo ya kifamilia kabla ya kurejea tena.
Bosi huyo alisema kuwa washambuliaji hao waliomba ruhusa ya wiki mbili ambazo kocha huyo amezikataa huku akiwapa wiki moja pekee.Aliongeza kuwa lengo la kuwakatalia washambuliaji hao ni ili waiwahi kambi ya timu iliyopangwa kuwa nchini Morocco.
“Siku chache baada ya kusaini mikataba ya kazi ndani ya Yanga, Makambo na Mayele jana (juzi) usiku waliondoka nchini kurudi kwao kujiweka sawa tayari kwa kazi.“
Makambo alitua nchini hivi karibuni bila begi lolote ili kuja kukamilisha dili lake, lakini jana (juzi) viongozi wa Yanga walieleza anakwenda kuoa lakini kocha Nabi amempa wiki moja pekee.
“Washambuliaji hao wote walisafiri pamoja kuelekea Congo kwa ajili ya kumaliza matatizo ya kifamilia,”alisema bosi huyo.
Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa alizungumzia hilo kwa kusema: “Ni kweli washambuliaji hao wamerudi nyumbani kwao kwa ajili ya kumaliza matatizo ya kifamilia lakini watarejea nchini haraka.”







Bora tuu awahi ili aje kuwapa mbinu za judo karate na mieleka
ReplyDeleteHapa Kaka Mpira wa miguu Tena wa Kiume siyo wa kike Kwahiyo msosi inatakiwa nadhani umegundua tunasajili madume siyo Watoto,nakumbuka mlipo msajili huyo Lwanga mnamwita mkata umeme vipii?mtalia Sanaa mala Wazaire wengi Jana tu naona na ninyi mnafuata nyayo,ndiyo maana akili zenu na MO na Haji mle mle usanihi.com
ReplyDeleteVipi calinious yule muangola, alikuwa mwanaume au mvulana?
ReplyDeleteYule alikuwa mvulana na ndo maana alishindwa kuendana na kasi ya wanaume akanyoosha mikono
DeleteSasa mpumbavu nani kat ya wewe na calinyo?mnajisifu sanaaa alafu baadae mnakuja kuingia mitini,piston,sponji,na wengine wengi wako wapi?je nao walikua majike au walikua ndio wanavunja ungo?usiongee sana maana mnaongoza kwakuingia cha kike,akina ps na wale wanyarwanda wapaka mikorogo
DeleteMpumbavu ni mama'ko alienivulia chupi na kunitanulia miguu nikapiga bao ukazaliwa wewe taahira
DeleteAlielelewa na kuleleka na mwenye dini yake hawezi kutamka uchafu ksma huo na naona ajabu kukubaliwa ndani ya mitandaoni
ReplyDeleteJino kwa jino
DeleteHata dini zimesema ukitukana utatukanwa na ukitukania utatukaniwa;alianza akamaliziwa
MACHO YANGU NA KOCHA WAO TU NABI
ReplyDelete