August 10, 2021


 WAKATI Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ikitarajia kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya kambi kuna maingizo ya wachezaji wapya wawili ambao bado hawajatambulishwa.

Ni Kibu Denis ambaye ni mshambuliaji kutoka Mbeya City, Israel Mwenda kutoka Klabu ya KMC. Wawili wametambulishwa tayari ndani ya Simba.

Nyota hao wawili wanasubiriwa kutangazwa muda wowote kwa mashabiki kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu wa 2021/22.

Winga Peter Banda yeye ameweka wazi kwamba yupo ndani ya kikosi hicho kwa ajili ya kufanya kazi na anaamini kwamba kila kitu kitakwenda sawa.

Mwingine ni Yusuph Mhilu ambaye ni ingizo jipya kutoka Kagera Sugar yeye tayari ameshatambulishwa.

8 COMMENTS:

  1. Pumbavuuu sana nikajuwa ni Walter bwalya kumbe akina Denis kibu, sasa hao nao ni nyota kweli au vimoda

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inaelekea umechanganyikiwa wewe. Hao unaowadharau ndio watakao kukalisha halafu ushangae

      Delete
    2. We mshenzi sana Walter Bwalya sinndie yule amekuja kucheza mara 2 na simba na zote akawa anazungushwa uwanjani kama kichaa na kuacha pointi 6 Dar? Alishindwa kuisaidia timu yake na akazidiwa na mabeki wa simba mwanzo mwisho. Je ataisaidia nini simba kama yeye mwenyewe ni galasha tu kwa simba kaacha point 6 kwa simba?

      Delete
    3. SIMBA HAWANA MPANGO WA KUMSAJILI WALTER BWALYA

      Delete
  2. Naiona yanga kwisha kazi kumuacha kisinda muna tatizo

    ReplyDelete
  3. Hii ndo shida ya Watanzania kujidharau matokeo yake huwa tunathamini vya nje hata kama havina ubora wala viwango

    ReplyDelete
  4. Xhida yawa tanzania kwani wee mkenya xema ccwatanzania mdau

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hebu soma vizuri maoni yake halafu uangalie kivumishi rejeshi alichokitumia kinamaanisha nini na kumuweka wapi

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic