NYOTA wa Yanga ambao walibaki nchini Morocco wanatarajiwa kurejea Tanzania kesho ili kuungana na timu katika maandalizi ya msimu wa 2021/21.
Sababu ya nyota hao kukwamwa inatajwa kuwa ni kushindwa kukamilisha suala vibali.
Nyota hao walibaki huko baada ya kambi kuvunjwa kutokana na sababu ambazo Yanga walieleza kuwa ni kwa maslahi mapana ya klabu.
Wapo wachezaji ambao walitangulia na wanaendelea na mazoezi katika kambi ya Avic iliyopo Kigamboni.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Yanga zimeeleza kuwa wachezaji hao walikuwa wanaendelea na mazoezi hivyo wapo imara.
Ni Yacouba Songne, Dickson Ambundo, Djuma Shaba, Fiston Mayele pamoja na wengine ambao wanatarajiwa kurejea kesho ili kuungana na timu kuelekea Wiki ya Mwananchi.
Acheni uuongo. Walikuwa wanaendelea na mazoezi chini ya kocha yupi. Walikuwa wangapi hadi wapate motisha ya kufanya mazoezi kama sio walikuwa wanasubiri msosi na kulala kukuche wapande ndege?
ReplyDeleteKwani yanakuusu sasa???
DeleteWalikuwa wamewekwa karantini baada ya kukutwa na Covd19
ReplyDeleteMjiandae FDL au ligi daraja la kwanza Tanzania CAS wanatoa maamuzi mwezi ujao sio kuangalia mambo ya Yanga
DeleteAkili zako hazipo sawa kabisa,unafikiri kwakutumia makalio wewe endelea kubaki non rennaisensed man,you still hang at the back
DeleteTimu imekula hd nauli wakaamua kusafiri kwa mafungu! Nadhan hawa wamebahatika kurudi baada ya kupitisha bakuli mahali,, othewise ambundo angeitwa Alsharaaf
ReplyDeleteWewe unajua return airticket maana yake? Vibwetere wengi mno!
Delete1 week duration?? Jiongeze we pusi,, nauli ilipungua! Kwanza mlianza kukimbia barabarani badala ya Gym, pili wachezaji wengne mkawaacha wakasafiri wachache,, et return airticket!! Haaa haaa
DeleteNingemjuwa alieanzisha bakuli ningempa zawadi Mana amewakomboa wanyonge Mana yanga bila bakuli awaendei tushukulu mfumo wa bakuli jamani
ReplyDeleteCyo uwongo! Na wanajua kweli kuomba kuchangiwa na wala hawana aibu,, haaa haaa!
Delete