August 10, 2021

 


RASMI aliyekuwa nahodha wa timu ya Barcelona Lionel Messi sasa ni mali ya PSG ya Ufaransa.


Nyota huyo ambaye amedumu kwa muda wa miaka 21 ndani ya Barcelona amesaini dili la miaka miwili akiwa ni mchezaji huru.


Ni jezi namba 30 ambayo amekabidhiwa aliyoanza kuitumia alipokuwa Barcelona ndani ya Nou Camp.


Mshindi huyo mara sita wa tuzo ya Ballon d'Or anaungana na mshikaji wake Neymar Jr waliyefanya naye kazi nyakati fulani ndani ya Barcelona.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic