VIDEO: AUCHO MALI YA YANGA, KUTAMBULISHWA MUDA WOWOTE
NYOTA Aucho ambaye alikuwa anawindwa na Simba inaelezwa kuwa kwa sasa yupo kwenye rada za timu ya Yanga ambayo imepindua usajili wa nyota huyo ambaye na usajili wake inaelezwa kuwa umefika hatua nzuri na muda wowote anaweza kutambulishwa.







Wamtambulishe mapema la sicyo mnyama atapita nae ( kama kweli ni mchezaji wa maana)
ReplyDeleteSimba wanapima upatikanaji na fitness ya Fraga la sivyo huyu angekuwa tayari msimbazi. Wachezaji ambao yanga ina urahisi wa kuwapata kiubwete ni kutoka congo tuu.
ReplyDeletemikia kimenuka huko hamuwezi kushindana na wananchi
DeleteMikia wanafuatilia machaguo ya wananchi, wakiachiwa wenyewe watamfuata bomu Fraga
ReplyDeleteAcheni usimba na uyanga, wachezaji wa Tanzania wamepoteza soko lao, kama hamtaamka soka letu litakufa.
ReplyDeleteUnajiita timu ya wananchi?wakati mnasajili wageni, vipi wachezaji wetu wa u20?
ReplyDeleteYanga bingwa msimu ujao🏃🏃
ReplyDeleteHata msimu huu amechukua ubingwa pia,au huna kumbukumbu?
ReplyDeleteMikia fc hahaha vp huko manara anasema et aongeze sauti?
ReplyDelete