Kwa upande wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) Rais Wallace Karia ameweka wazi kwamba kuna ongezeko la wachezaji 12 wa kimataifa.
VIDEO: AZAM FC YATAMBULISHA NEMBE MPYA, WACHEZAJI 12 KIMATAIFA
AZAM FC leo Agosti 14 wamezindua nembo mpya ambayo imeanza kutumika kuitambulisha timu hiyo, Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin ametaja sababu ya timu hiyo kuweka kambi nchini Zambia.







Suala la wachezaji 12 wa kigeni limekuja wakati muafaka kwa timu zetu zinazoshiriki mashindano ya Africa. Wanaobeza ongezeko hili la wachezaji wa kigeni wawe weledi zaidi katika kujikita kuwapika kiakili wachezaji wazawa kutobweteka na kuwa wasindikizaji tu. Na sijui ujinga huu watanzania tumeurithi wapi yakujiona inferior kwa wageni?
ReplyDeletePesa waliopata Yanga na Simba Kwenye mauzo ya wachezaji wao wa kigeni zimeingizia kitu nchi yetu sio Zambia au Congo.