VIDEO: NAMNA SIMBA WALIVYOSEPA BONGO, LUIS MIQUISSONE AKOSEKANA
KIKOSI cha Simba leo kimekwea pipa kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa 2021/22. Nyota wao Luis Miquissone hakuwa miongoni mwa wachezaji na anatajwa kuibukia nchini Misri ambapo atajiunga na Al Ahly.







0 COMMENTS:
Post a Comment