VIDEO:DAU LA TUISILA KISINDA NI MILIONI 346 AMBAZO ZIMEMPELEKA MOROCCO
NYOTA wa kikosi cha Yanga, Tuisila Kisinda anatajwa kuibukia Morocco kwa msimu wa 2021/22, dau lake linatajwa kuwa milioni 346 ambapo kwa mujibu wa Kaimu Katibu wa Yanga, Haji Mfikirwa amesema kuwa ofa ambayo wamepewa ni nzuri na itawafanya waweze kwenda kambi nchini Morocco.







Ya kweli hayo jombaa, co kwamba alikuja kwa mkopo
ReplyDeleteKwa kweli inashangaza sana maana naona Kama anaondoka kirahisi mno.viongozi wetu tuwekeni wazi tu kama alikuja kwa mkopo
ReplyDeleteDau lake limejumuisha gharama za kambi ambazo hatujaambiwa ni kiasi gani
ReplyDeleteDaah ukakasi huu
ReplyDeleteKama ndo kambi Bora wasingeweka nje ila Tuisila angebaki
ReplyDeleteIwe rahisi iwe kubwa ,wewe unayejua thamani kalipe share za Wanachama Simba.
ReplyDelete