August 8, 2021

JIMMY Ukonde nyota mpya ambaye alikuwa kwenye majaribo ndani ya kikosi cha Yanga ameweka wazi kwamba anaamini anaweza kuwepo kwenye kikosi hicho kwa msimu ujao.

 Kuhusu ushindani ndani ya Kagame 2021 amebainisha kuwa ulikuwa ni mkubwa huku akigoma kumtaja nyota wa mchezo walipocheza dhidi ya Express, jana Agosti 7, na kukubali kupoteza kwa kufungwa mabao 3-1 Uwanja wa Mkapa. 

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic