KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amefurahishwa na usajili wa wachezaji ambao wamesajiliwa na timu hiyo iliyoweka kambi nchini Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2021/22.
Miongoni mwa wachezaji ambao wametua ndani ya Yanga ni pamoja na Heritier Makambo, Djuma Shaban, Jeus Moloko.
Amekiri kuwa kila alichokitaka kuhusu usajili amekipsta kwahivo watapochapwa wasiwe na kisingizio
ReplyDeleteKivipi? Hata mkibebwa vipi na mikia waliojaa fff, kipondo hakikwepeki.
ReplyDeleteYANGA: WACHEZAJI HAWA NI MAGARASA NA HAKIKA IPO SIKU MTAAMINI KAULI YANGU.
ReplyDelete1. HERIETER MAKAMBO
2. YANICK BANGALA LITOMBO
3. SAID NTIBANZOKIZA - PANCHA NYINGI.
4. FISTON MAYELE - AVUMILIWE ILA SIO CLINICAL FINISHER.
MAKAMBO ATAISHIA KUZOMEWA TU JUKWAANI, NI BORA WAZIRI JUNIOR ANGEBAKI KULIKO KUMSAJILI MAKAMBO.
Tatizo kocha wa Simbai ana viwango vya kuusoma mchezo. Yanga mtasubiri sana tu
ReplyDeleteMakambo yule cyo huyu wa sasa,, huyu wa sasa n galasa. Ictoshe simba na yanga cyo vilabu vizuri kwa kutoka na kurudi,,majority wamefeli
ReplyDeleteAcha ufuska ww kwan okwi pale kwa nyumbu Sc amelud marangap na kafel mara ngap boya ww
DeleteGalasa wewe umejuaje Tatizo ninyi mikia Ni wivu,wangekuwa magalasa msingeomba kusajili Wachezaji 12 kwa kisingizio Cha Corona na CAF ,hao wa nje kwenu aliyebaki anatisha Ni Morrison,.
ReplyDeleteKagera wanawadhalilisha.matapeli wakubwa.
ReplyDelete