UONGOZI wa Klabu ya Simba SC na Shirika la Ndege nchini Tanzania (ATCL) wameingia mkataba wa ushirikiano wa kibiashara ambao utakuwa na manufaa kwa pande zote.
Mkataba huo utaiwezesha Simba kuweza kusafiri ndani ya Tanzania kwa ndege za shirika hilo pekee ikiwa katika safari zake.
Inatajwa kuwa mkataba huo uana thamani ya shilingi milioni 400.
Mkataba huo umesainiwa leo Septemba 17 mbele ya Waandishi wa Habari.Mkataba ambao wamesaini leo ni wa muda wa miaka miwili kwa ajili ya ushirikiano.
Asante Simba hayo yote na mipango na utulivu
ReplyDeleteMungu awe nasi wanamsimbazi
ReplyDeleteNashangaa ukisema ndani ya Tz pekee mbona wengine wanasema mpaka nje ya nchi
ReplyDelete