October 21, 2014


Hatimaye kesi ya mauaji iliyokuwa inamkabiri mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius imefikia tamati kwa yeye kuhukumiwa miaka mitano jela.


Pistorius aliyekuwa anatuhumiwa kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp amehukumiwa kwenda jela miaka mitano kwa kesi ya mauaji bila ya kukusudia.
Awali mwanariadha huyo aliondolewa mashitaka ya kuua kwa kukusudia.
Akiwa mahakani leo mjini Pretoria, aliangua kilio baada ya hukumu hiyo.
Hata hivyo, mama mzazi wa marehemu, alipinga na kusema adhabu hiyo ni ndogo.
Pia taasisi za kutetea haki za binadamu zimekuwa zikipinga kwa kasi kubwa kuhusiana na hilo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic