Wachezaji wa Yanga na Azam FC watalazimika kuila sikukuu ya Krismas kwa hofu kutokana na mechi ngumu itakayokuwa inawakabiri.
Yanga itakuwa mwenyeji wa Azam FC, Desemba 28, mwaka huu ikiwa ni siku mbili tu baada ya Krismas.
Kutokana na hali hiyo, wachezaji hao watakuwa kwenye presha ya mechi hata siku ya sikukuu.
Kwani watalazimika kuwa kwenye maandalizi ya mechi hiyo ambayo kwa sasa ni kati ya mechi ngumu na zinazovutia mashabiki wengi nchini.
Kawaida England na ligi nyingine kubwa wamekuwa wakicheza mechi katika siku za sikukuu, tofauti na hapa nyumbani.

0 COMMENTS:
Post a Comment