Kiungo Mcameroon, Alex Song
amekuwa nyota wa mchezo wakati West Ham ikiichapa Man City kwa mabao 2-1.
Song alikuwa anapambana na
Yaya Toure, alionyesha uwezo mkubwa na kuwapa wakati mgumu City.
Mechi hiyo ilimalizika kwa
ushindi huo kwa wenyeji na kuipungza kasi City.
0 COMMENTS:
Post a Comment