MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi 2021 Yanga wamerejea leo Bongo wakitokea Zanzibar baada ya kushinda mbele ya watani zao wa jadi Simba kwa ushindi wa penalti 4-3 baada ya dakika 90 kukamilika kwa sare ya bila kufungana. Mapokezi yao leo yapo namna hii:-
Kombe refu kama mnara wa Babeli
ReplyDeleteUtoooooo
ReplyDeleteYaani kombe la muzi tuu watu wanajazana hivi wakipata la ligi jee? Kweli utopoloni wamemis shughuli hizi muda mrefu
ReplyDeleteKombe la mbuzi
ReplyDeleteKama inawauma chomoa
ReplyDeleteHapo wamebeba kombe la bonanza wanashangilia hivo. Najiuliza siku wakibahatika kuwa mabingwa wa VPL itakuaje? Si watatembea uchi kweli Hawa? 🤣🤣🤣
ReplyDeleteUmezaliwa mwaka gani wewe!!!Waulize wazee wako watakwambia kuhusu mzoefu wa makombe
DeleteWazoefu wa vikombe vya mbuzi
DeleteMtibwa,Simba na Azam wamechukua kikombe hichi mara nyingi na huoni maandamano wala mspokezi.Hivi kombe hili unawakilisha wapi?Upo kwenye kundi gani?
ReplyDeleteYanga tuache ushamba kombe hili halina hadhi yeyote. Tugangamale na makombe yenye maana.
Chamtu mavi hyo inajulikana lakn kama unaakil timamu we sio fyatu kama baazi za comment hpo juu lazma ujiulize kama kombe hlo halna maana wnye hawajachukua walikua wanatafta kule mmexhndwa 2lizen yenu mikundu waachen walochukua wale baata na kombe lao
ReplyDeleteWe kama tm yacho mmelikosa 2lizen nyege wa2 wa enjoy
ReplyDeleteKlabu opi haijachukua?Kombe la mbuzi mnafanya maandamano!!Je mkichukua uningwa wa FA na ubingwa mwaka mmoja si mtavua nguo kabisa.
ReplyDeleteTasa kapata mimba anatema mimate ovyo mji mzima umejaa mate.
Kazeni buti mshinde kombe la maana.
Azam kachukua kombe la Mapinduzi mara 5 husikii kelele wala maandamano.
Inaonesha jnsi gan waxhabki wa mikia fc akili za kukodi mngemwambia mo aspeleke timu mlikua mnalitaka kwakua kkos chenu cha wazee wakalkosa xaxa 2lien wenyenalo 2furah
DeleteUtopolo mnatia aibu hatakama mnahamu Sasa mmepitiliza
ReplyDeleteUwivu na rohoo mbaya watu unawasumbua,mtajibeba
ReplyDeleteMickmouse cup, alisika morinho akisema. Ha ha ha
ReplyDeleteNyie mnayo?
DeleteKama hujui historia ya nchi yako waulizene wazee wenu,povu ruksa
ReplyDelete