July 24, 2021

19 COMMENTS:

  1. Huwa nawashangaa wachezaji aina ya mauya, unabahatisha kigoli kimoja halafu unapata ujadiri wa kuamini kuwa utaendelea kufunga? Kwa nini usiende kwenye mechi kwa kuwaheshimu wapinzani? Akili za kindezi kweli.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tuliza mshono....kiwewe Cha nini wakati game ni kesho tu

      Delete
    2. Kwani ni wapi umemsikia Mauya akisema atafunga tena? Kwa sababu mshamhonga refa aliyewabeba mechi mbili za ASFC basi ndo mnadhani mshakuwa mabingwa tyr?

      Delete
    3. Yani mikia fc bado mnataka kuja tena na matokeo mifukoni mwneu?

      Delete
    4. Kweli mnawashwa, sasa kigoma atawafunga ADEYUM ndo mtatuliza vizuri mshono. Kwani Mauya si mchezaji mpk ushangae akofunga. Kweli mbumbumbu nyie mna akili za kindezi sana

      Delete
  2. Manara maisha yake simba yamefika tamati, ahamie huko gsm jumla. Hakuna mtu anamtaka tena kule simba.

    ReplyDelete
  3. Manara hajui kuwa gsm walikuwa wanampatia hela kwa vile alikuwa akiwafanyia kazi zao ndani ya simba. Sasa atafukuzea simba na wao watamtosa kiana, ajiandae na msoto

    ReplyDelete
  4. Huyu Manara nilimpenda na kumkinai nikaona hakuna wa kumlinganisha nae kumbe rohoni kwake mengine. Yaani ghafla kageuka kama sie. Wakati. Katika mchezo wa raundi na Vita Senxo alikutana na kocha wa Vits, hilo likamkera sa Manara kuwa ilikuwa njama dhidi ya Simba na leo hii anaonekana akijipatia misosi nao

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pesa baba. Manara ni simba ila fedha inamtoa roho. Hata kusaini 4 mil contract hakutaka. Vibahasha vya GSM ni vinono. Siku zote nawashauri simba au yanga, katika mikakati nyeti basi lazima wachumia tumbo wawe mbaaali. Ama sivyo kila siku mtahujumiana

      Delete
    2. Njaa ya Simba ndo inamsumbua Manara. Alikuwa anajifanya yeye ndo SIMBA kumbe laki 7, hahahahaaaaaa. Makanjubai siyo watu wazuri

      Delete
  5. Leo Manara anaonekana msaliti kwa sababu ya kuwa balozi wa bidha za GSM kisa tu Yanga imeifunga Simba lakini kipindi kile Simba ilipokuwa inaifunga Yanga kiajabu ajabu hatukusikia viongozi au mashabiki wa Simba wakiongea kuwa Manara ni pandikizi lao GSM ili kuwarubuni wachezaji na viongozi na ili Yanga.
    Katika sakata hili nimekuja kugundua kuwa kumbe Manara kupitia ubalozi wake katika bidhaa za GSM alikuwa anatumia nafasi hiyo kuwarubuni wachezaji wa Yanga na kuihujumu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sisi GSM mwanzo hatukumtumia Manara kutufanyia hujuma ilikuwa just business. Lakini baada ya yeye mwenywe Manara kutupa picha ya nini anaweza ndipo tulipoanza kumtumia ila Manara ni mpenda hela sana

      Delete
  6. Kwani shida iko wapi, si aende jumla huko gsm? Kwani kuna mtu anamlazimisha kubaki simba? Ila akae akijua kuwa ukikubali kutumika halafu ukagundulika basi huyo aliyekutumia atajiweka mbali na wewe kama vile hakujui. Awaulize wanawake waliowahi kuribuniea wakaviruga ndoa zao ni kipi kilieapata baada ya kuachika.

    ReplyDelete
  7. Mimi zile milioni alizopewa Mzee Mpili toka mwanzo zilinitia wasiwasi nae mara nyingi akitowa maneno maneno ya kutatanisha. Masilaha hapo.

    ReplyDelete
  8. Daah! Manara ni balozi pia wa Azam hii mbona wanaikalia kimya? Kwa GSM manara anaonekana msaliti ila kwa Azam yupo safi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa AZAM si wamemfunga ko hawaoni tatizo. Wana akili fupi kama za mjusi hawa manyau

      Delete
  9. Unajua m siwaelewi kila sku manara manara ndo maana anasema mtamtoa roho kawakosea nn yy anaangalia famlia yake iishije ashndwe kupata ulaji kisa maneno yenu mwacheni bwana manara wa watu sababu haziishi kila kukicha

    ReplyDelete
  10. Kumbuka azam si mshindani wa simba wala yanga. Azam kama kampuni ni mshindani wa mohamed enteprises kibiashara.

    ReplyDelete
  11. Mbna nyie yanga ni mabalozi wa azam, sasa anashindwaje manara mmoja tu wakati timu nzima ya yanga nao ni mabalozi wa azam

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic