June 28, 2015

Kiungo wa Manchester City, Samir Nasri ameendelea kula raha kwa kucheza ule mchezo wa kuruka angani.


Yaani mnakuwa ndani ya ndege halafu mnaruka kutoka ndani ya ndege na kuelea angani.

Mchezo huo maarufu kama Sky Diving na Nasri ameonekana akipaa juu ya mji wa Dubai.

Ameupia picha zake katika mtandao wa Instagram akionyesha anavyokula ‘mibata’ kabla ya kuanza kwa msimu mpya.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic