Na Nassor Amour, Zanzibar
Kiungo aliyerejea
Simba na kusaini mkataba wa miaka miwili, amejiunga na kikosi chake.
Mwinyi
Kazimoto, amejiunga na wenzake wa Simba baada ya kujitambulisha kwenye Uwanja
wa Amaan m,jini hapa.
Mwinyi alipata
nafasi ya kuzungumza na kocha mkuu, Dlyan Kerr akiwa na wasaidizi wake akiwemo
Selemani Matola.
Baada ya hapo,
akajumuika na kikosi na kuanza mazoezi.
Kazimoto amejiunga
na Simba akitokea Al Markhiya ya Qatar ambayo ilimnunua akitokea Simba.
0 COMMENTS:
Post a Comment