Umesikia mastaa
kibao ni wabahili, licha ya kupata fedha nyingi lakini wanaishi ili mradu tu.
Waache wafanye
hivyo lakini si nyota mpya wa Manchester United, staa Memphis Depay.
Yaani miwani,
mabeki madogo mawili, viatu, saa na miwani vinafikia thamani ya Sh milioni 30
ya Tanzania.
Alikuwa amevaa
vitu hivyo na kubeba na thamani yake ni pauni 9923 ambayo ukiichenji kwa madafu
ya Kikwete, unapata Sh 30,761,300, dah!
Hapo
haujahesabu hata senti katika mavazi mengine, mfano vuatu, soksi na nyinginezo.
Maana suti aliyovaa ni mali ya klabu yake.
0 COMMENTS:
Post a Comment