July 5, 2015

Mshambuliaji nyota, Cristiano Ronaldo anapewa nafasi ya kuwa nahodha mpya msaidizi wa Real Madrid.

Ronaldo anapewa nafasi ya kuwa nahodha kama beki Srgio Ramos ataondoka na kujiunga na Manxhester United.

Kwa mujibu wa gazeti maarufu la michezo la Hispania, Marca, Ronaldo ni kati ya wachezaji wenye nafasi kubwa ya kuvaa kitambaa. Mwingine ni Marcelo.


Kama itakuwa hivyo, Ronaldo ataingia katika kundi la manahodha wa Real Madrid akiwemo nahodha namba moja Iker Casillas.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic