Mshambuliaji nyota, Cristiano Ronaldo
anapewa nafasi ya kuwa nahodha mpya msaidizi wa Real Madrid.
Ronaldo anapewa nafasi ya kuwa nahodha kama
beki Srgio Ramos ataondoka na kujiunga na Manxhester United.
Kwa mujibu wa gazeti maarufu la michezo la Hispania, Marca, Ronaldo ni kati ya wachezaji wenye nafasi kubwa ya kuvaa kitambaa. Mwingine ni Marcelo.
Kama itakuwa hivyo, Ronaldo ataingia katika
kundi la manahodha wa Real Madrid akiwemo nahodha namba moja Iker Casillas.
0 COMMENTS:
Post a Comment