September 20, 2015

Kiungo mshambuliaji wa Royal Eagles, Uhuru Selemani Mwambungu amefunga bao lake la pili akiwa na kikosi chake hicho.


Uhuru amefunga bao lake la pili wakati Royal Eagles ikitwanga Santos bao 4-0.

Hiyo ni mechi ya pili ya Uhuru, mechi yake ya kwanza dhidi ya Amazulu kwa mabao 2-1 yeye akifunga la ushindi.


“Ilikuwa mechi mgumu sana, lakini namshukuru Mungu nimecheza na kufunga,” alisema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic