November 25, 2015

Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi ya kujifua chini ya Kocha Hans van der Pluijm.


Mazoezi hayo yamefanyika kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam, leo na kocha huyo Mholanzi aliamua kuachia wachezaji wakipige hasa kama mechi.

Wachezaji walionekana kucheza wakiwa ‘siriaz’, yaani hakuna utani na ikiwezekana hata ‘kumtandika’ mtu.

Kila upande ulitaka kushinda na ushindani ulikuwa juu ingawa mara kadhaa Pluijm alisisitiza suala la kuepuka kumuumizana badala yake kucheza soka la kiume hasa.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic