Chelsea
imeitandika Maccabi Haifa ya Israel kwa mabao 4-0 katika mechi ya Ligi aya
Mabingwa Ulaya, hatua ya makundi.
Lakini
gumzo ni kiungo Mbrazil, William ambaye alifunga moja ya mabao hayo manne
lakini kwa mkwaju hatari wa mpira wa adhabu maarufu kama ‘mipira iliyokufa’.
William
sasa amekuwa tegemeo la Chelsea katika upigaji mikwaju hiyo, hakika dogo ni
mbaye asee.
0 COMMENTS:
Post a Comment