Kocha Antonio Conte baada ya kumalizana na Italia katika michuano ya Euro 2016, sasa ameanza kazi yake ya kuinoa Chelsea kujiandaa na Ligi Kuu England.
Kocha huyo ametua England baada ya kumalizana na Juventus ambayo aliifanya itambe inavyotaka katika Serie A. Haya hapa mazoezi yake ya kwanza.
0 COMMENTS:
Post a Comment