HUYU CHIRWA ANA NGUVU, USIMDHARAU, ANGALIA ALIVYOMTUPA CHINI KAMUSOKO Msjambuliaji mpya wa Yanga, Obey Chirwa raia wa Zambia si mtu laini ndugu yangu. Katika mazoezi wakiruka mara kwa mara alikuwa akitumpa chini kiungo Thabani Kamusoko, hii inaonyesha jamaa yuko fiti kweli.
0 COMMENTS:
Post a Comment