July 13, 2016

Yanga imeendelea na mazoezi kuiwinda Medeama katika mechi ya Kombe la Shirikisho inayotarajiwa kupigwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mazoezi ya Yanga yamekuwa yakifanyika kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam na timu hiyo hurejea kambini Kunduchi ambako imejichimbia.


Medeama inatarajiwa kuwasili nchini kesho tayari kwa ajili ya mechi hiyo ya Jumamosi.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV