December 5, 2016






Mamia wa wakazi wa Mwanza wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella wamejitokeza kwa wingi wakati wa mazishi ya mshambuliaji kinda wa Mbao FC, Ismail Mrisho Khalfan.

Mrisho alifariki dunia jana mjini Bukoba baada ya kuanguka wakati akiwania mpira na beki wa Mwadui FC katika michuano ya vijana chini ya miaka 20 na kufariki dunia.



Kifo cha mshambuliaji huyo kinda kimezua taharuki kubwa miongoni mwa wapenda michezo, soka na watu wa kawaida.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic