April 17, 2013


Nizar anafumua shuti...


Yanga imefanikiwa kupata sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Mgambo Shooting katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga, leo.
 
Kiiza kazini...
Bao la Mgambo...
Mgambo walikuwa wa kwanza kupata bao katika dakika ya 42 kupitia kwa Issa Kandulu, bao lililodumu hadi wakati wa mapumziko.

Yanga walifanikiwa kupata bao la kusawazisha dakika zikiwa zinayoyoma, bao hilo lilipatikana katika dakika ya 82 kupitia kwa Simon Msuva.
Benchi...

Yanga inaendelea kubaki kileleni ikiwa na pointi 53 wakati Azam FC inayowakimbiza ikiwa nafasi ya pili ikiwa na pointi 47.
 
Mgambo..

Msuva kazini..

Kazi ya wanajeshi..

Yanga..

KIKOSI YANGA:
1.Ally Mustafa 'Barthez'
2.Mbuyu Twite
3.Oscar Joshua
4.Nadir Haroub 'Cannavaro'
5.Kelvin Yondani
6.Athuman Idd 'Chuji'
7.Saimon Msuva
8.Frank Domayo
9.Hamis Kiiza
10.Nizar Khalfani
11.David Luhende

Subs:
1.Said Mohamed
2.Shadrack Nsajigwa
3.Nurdin Bakari
4.Salum Telela
5.Haruna Niyonzima
6.Said Bahanuzi
7.Jerson Tegete

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic