MSANII
mwingine wa muziki wa kizazi kipya, Langa Kileo, amefariki dunia.
Langa
amefariki muda mfupi uliopita kwenye hospitali ya Muhimbili jijini Dar es
Salaam alipokuwa amelazwa hapo baada
kutokana na kusumbuliwa na malaria kali.
Langa ambaye
aliwika akiwa na kundi la Wakilisha, anakumbukwa kwa wimbo wake wa Matawi ya
Juu.
Siku cha
zilizopita msanii Albert Mangwea, alifariki nchini Afrika Kusini na kuzikwa
Alhamisi iliyopita mkoani Morogoro.
0 COMMENTS:
Post a Comment