MWILI WA ALBERT MANGWEHA ULIVYOWASILI JIJINI DAR, KUAGWA KESHO KWENYE VIWANJA VYA LEADERS Mamia ya wakaji wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuupokea mwili wa msanii Albert Mangweha aliyefariki dunia Mei 28 mwaka huu huko nchini Afrika Kusini.
0 COMMENTS:
Post a Comment