Klabu ya Barcelona, imeweka sehemu maalum kwa ajili ya Lionel Messi katika jumba lake la makumbusho.
Katika jumba hilo, Messi ametengewa sehemu maalum ikiwa ni pamoja na kuwekwa kwa vikombe kadhaa alivyoshinda vikiwemo viatu viwili vya dhahabu.
Sehemu hiyo ina ukubwa wa eneo mita 70 na makombe na vitu vyake mbalimbali ikiwemo picha imeweka.
Tayari sehemu hiyo iliyo katika ghorofa ya kwanza ya jengo hilo imeishafunguliwa kwa ajili ya watu kuanza kutembelea.








0 COMMENTS:
Post a Comment