July 11, 2013



Beki mpya we Liverpool, Kolo Toure amemshauri Luis Suarez abaki katika klabu hiyo ili waanze kubeba mataji msimu ujao.

Beki huyo wa kati wa zamani wa Arsenal amemuambia Suarez anayewaniwa kwa udi na uvumba na matajiri Real Madrid kwamba anaweza kubaki Liverpool na wakafanya vizuri ikiwa ni pamoja na kutisha katika michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya.
 
Tayari Toure ameshaanza mazoezi na kikosi cha Liverpool ikiwa ni siku chache ajiunge nacho akitokea Man City.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic