Wachezaji wa
Real Madrid wameelezwa kuwa wanaongoza kwa kuchati kwenye mitandao ya kijamii
hasa Twitter.
Wachezaji wengi
wa Madrid wanaamini ndiyo magwiji kwa Twitter na Instagram na wamekuwa
wakichati muda mwingi wanapofika mazoezini.
“Wanatumia
muda mwingi kuchati, hasa kabla na baada ya mazoezi. Inaonekana ndiyo magwiji wa
Twitter na Instagram,” alisema mmoja watu waliohojiwa katika runinga na El
Video ya Hispania.







0 COMMENTS:
Post a Comment