July 8, 2013



Mshambuliaji wa Ivory Coast, Arouna Kone amesaini mkataba wa miaka mitatu kuichezea.

Kone ambaye alikaa katika benchi wakati Ivory Coast ikiivaa Taifa Stars kwenye Uwanja Dar es Salaam alikuwa benchi, ameiacha Wigan na kutua Everton kwa kitita cha pauni milioni.
 
KONE AKICHONGA NGENGA WAKATI AKIWA BENCHI KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR

Tokea kwa kocha wake, Roberto Martinez ajiunge na Everton kuchukua na nafasi David Moyes aliyejiunga na Manchester United.
Kwa Tanzania, Blog hii ilikuwa ya kwanza kuandika kuhusiana na Kone kutaka kujiunga na Everton.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic