July 1, 2013



Vyombo mbalimbali vya Amerika Kusini, vimetafsiri tabasamu la mwanadada Shakira kuwa hajui lolote kuhusiana na soka pamoja na kuwa na mpenzi mwanasoka.

Shakira alitoa tabasamu zito wakati Gerard Pique alipolambwa kadi nyekundu katika mechi ya fainali ya Kombe la Mabara baada ya kumkwatua Neymar.

Lakini Shakira aliendelea kuwa ni mwenye furaha, hali iliyotafsiriwa huenda mumewe amepumzishwa tu kwa ‘mazuri’ na ikiwezekana atarudi tena uwanjani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic